Rekebisha rangi zako kwanza mkuu, especially background colours, kwa sababu kwa watu wenye matatizo kidogo ya macho huwa wanakuwa na vision nzuri kwenye white background, au at least broken white, cream, "light" blue, green, grey etc, then font jaribu kutumia rangi kali km black, dark blue etc. Au black background - white font. Khs contents sio mbaya.