Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
Jamani 20 years bado ni mtoto sana..Msaidie ajue kuwa 10 years from now, hatakuwa na nafasi kama hiyo ya sasa...She will be a hunter in stead.
Msukuma aombe ushauri na msaada haraka ili asije kuingia kwenye mtego wa kule mtoto anayeishi na baba mwingine!!
Babu DC!!
Msukuma aombe ushauri na msaada haraka ili asije kuingia kwenye mtego wa kule mtoto anayeishi na baba mwingine!!
Babu DC!!