mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
wanajamii naomba mnielekeze namna yakuseart prafile picture
namaanisha namna ya kuweka picha kutoka kwenye compyuter kwenda kwenye my profile of jfRekebisha sentensi yako...Halafu wakuu,msaidieni mwenzenu,weekend yoote mmepigia kimya,si vizuri hivyo.
namaanisha namna ya kuweka picha kutoka kwenye compyuter kwenda kwenye my profile of jf