Naomba kuwa Mshauri wa Karibu wa Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuwa Mshauri wa Karibu wa Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kishongo, Nov 3, 2010.

 1. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi ni Mtanzania ninayeipenda nchi yangu.
  Nimefurahishwa sana na jinsi Mhe Slaa alivyobadilisha mizania ya kisiasa Tanzania.

  Hata hivyo siridhiki na baadhi ya mambo.

  1. Ushauri uliotolewa wa kugeuza issue ya container lililokuwa vipodozi kule Tunduma kuwa ajenda ya kisiasa lilikuwa ni kosa kubwa.

  2. Kuwadanganya wananchi kwa kutoa ahadi zisizotekelezeka kuhusu elimu na vifaa vya ujenzi - hii ndio imechangia kupunguza kura za mgombea.

  Ombi: Naomba niongezwe katika jopo la washauri wake ili makosa yaliyojitokeza kwa kiongozi huyu kukurupuka na kuongea mambo bila ya kufanyia utafiti yaishe.

  Nawasilisha.
   
 2. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kishongo we K***ma tu tena inayonuka kama mdomo wa mamba
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135


  yale masanduku ya Musoma nayo Vipi???!!.Usilete uongo wako hapa. Kuiba ni dhambi na kama ndo hivyo, utawala wa wezi ni mateso kwa watawaliwa!!! believe me.
   
 4. coby

  coby JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yatosha ukibaki kuwa mshauri wa Makamba na JK kwani kwa hiyo nafasi unamsaidia sana Dr. Slaa (PhD)
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  You are living proof that manure can grow legs and walk
   
 6. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tafadhali Nyamagoro, mimi niko allergic kwa matusi.
   
 7. b

  bob giza JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda kawe mshauri wa mkeo.....maake kakuzidi kila kitu...mwehu wee!!
   
 8. W

  We can JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  The best way would be to ignore him/her
   
 9. nyasatu

  nyasatu Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaungane na shehe yahya kutabiri lini haswa itakua mwisho/kifo cha ccm
   
 10. M

  Mundu JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  CRAP!

  Nimeshindwa kuvumilia na wala siombi msamaha.
   
 11. Sisimizi

  Sisimizi JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nikikuita mjinga siyo tusi.Inamaanisha unahitaji uelimike zaidi.
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  si ufe tu? Una msaada gani kwako binafi, kwa ndugu zako na kwa jamii yako kama bado unaamini upuuzi!
   
Loading...