Naomba Kuuliza..!

Naomba Kuuliza..!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
kwa muda murefu nilikua nasikia hili swala kwa watu ila bado sijajua kama ni kweli. et ni kweli kuku ana sumu inayoweza kuua kama nyoka? mi hata bibi alikuaaga ananiambia nisiwachokoze kuku wakati nipo mdogo eti watanitemea sumu. je ni kweli? na sumu hiyo inakaa wapi? shukrani wakuu!
 
Ni kweli kuku ana sumu, tena ni kali kuliko ya nyoka ila hutumia pale tu anapohisi ni hatari kwake. Hata wewe una sumu na viumbe karibu wote wanayo sumu.
 
Mi ndio Makuku Rey, nimeanza kufuga kuku wa kienyeji kuanzia form one 2002,mpaka leo hii, siifahamu hyo sumu na nmekuwa nikichokozana mara kibao tu na kuku hao, mbona hawakurusha sumu?......
 
Hata mi nliwah kuskia lkn nliskia ikiingia usiku ndo huweza kutoa hio sumu iwapo utamchokoza na akikudonoa.
 
Hata mi nliwah kuskia lkn nliskia ikiingia usiku ndo huweza kutoa hio sumu iwapo utamchokoza na akikudonoa.
hata mimi mkuu nliambiwa ndio maana si vizuri kuingia bandani usiku gizani labda uwash2e kwanza kwa lifimbo maana hutoa sumu hiyo kama defense mechanism
 
Mi ndio Makuku Rey, nimeanza kufuga kuku wa kienyeji kuanzia form one 2002,mpaka leo hii, siifahamu hyo sumu na nmekuwa nikichokozana mara kibao tu na kuku hao, mbona hawakurusha sumu?......
hahahahaha, uko juu mkuu Makuku Rey
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu kaniambia hapa kwamba ni kweli kuku anasumu kali,nyoka haoni ndani
 
Mweeeee....sasa hiyo sumu iko pande ipi ya mwili wa kuku. Huku uswahilini tunakaangiwa mpaka utumbo na tunakula tu.
 
Mweeeee....sasa hiyo sumu iko pande ipi ya mwili wa kuku. Huku uswahilini tunakaangiwa mpaka utumbo na tunakula tu.

Acha ushamba, mbona nyoka ana sumu lakini bado analiwa na akina shung hai. Ni kweli kuku anasumu hata mimi nilishawahi ambiwaa
 
Sijawahi kusikia hii makitu

Kaizer hii makitu ipo tena kwa wale kuku wanao atamia, kama huamini siku ukienda kijijini kwenu nenda sehem anapolala kuku ane atamia wakati wa giza uingize mkono kny mayai yake uone kitakacho kutokea. Kabla hujafa utuleteee majibu
 
Ngoja niandike urithi kwanza
 
mhhhh............ndo maana watamu! hao wa kienyeji!!! na hata nyoka ni tamu pia!!!!
aisee........
 
Nimefuga kuku kwa muda mrefu lakini sikuwai kusikia kitu kama hicho.
 
Labda donlucchese ulikuwa na tabia ya kuwachokoza, na wakati huo mr hopper anakuwa juu juu. Kwa hiyo ikabidi uambiwe hivyo ili wakunusuru.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom