Naomba kuuliza

Naomba kuuliza

nadhani ni hao tu..........kuna wtu wengine wanafanya Comedy tena hapa.......ni hapo hapo tu

BTW Nimekumiss wii Kaka angu mzima

hata mie nimekumiss. kakio mzima kabisa ila................nafikiria huu mwaka mpya sijui nimwache - tena nimwache na vitoto vyake vikishazaliwa!
 
Njoo huku kinyerezi kifuru kuna sehemu panachekesha we acha yaan mm mwenyewe hapa nacheka
 
mi sio mtu wa starehe lakini napenda kucheka ni wapi hapa bongo dar es salaam wanafanya stand up comedy. Hapo lazima nitamshawishi mr kiwatengu tuende maana najua lazima turudi tunafuraha..
Embu nipeni kumbi ambazo wanafanya stand up komedi plzzzz.
kwa bibi nyau
 
Angalia usijikojolee.....ila me naona jf ni big enough kwako
 
hata mie nimekumiss. kakio mzima kabisa ila................nafikiria huu mwaka mpya sijui nimwache - tena nimwache na vitoto vyake vikishazaliwa!

Unasema..? Kumbe nikiwa sipo unaongea hivi..? Kwa kuwa umenilisha lile dubwana eeh.. Jaribu uone.. Kabila langu walijua na unajua pia ninamiliki ile kiboko yenu..
 
Unasema..? Kumbe nikiwa sipo unaongea hivi..? Kwa kuwa umenilisha lile dubwana eeh.. Jaribu uone.. Kabila langu walijua na unajua pia ninamiliki ile kiboko yenu..


aaa wapi..............nna byuleti prufu....utampata nani!?!?
 
Back
Top Bottom