Naomba kuuliza wakuu

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
6,236
9,637
Kichwa cha habari hapo juu cha husika Wakuu hivi kuna wale wenzetu walemavu wanakua kama wamevimba Mgongoni inakua kama kibwongo hivi napenda kujua hivi wanaweza wakabeba mimba na kujifungua vizuri tu bila matatizo?

Mwenye uelewa vizuri naomba basi msaada wa kunielewesha
 
Back
Top Bottom