Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,518
- 48,828
USA ana nuclear war heads 5000.Ninachojua USA inaweza kumchomoa yeyote tofauti kama nilivyosema kwenye bandiko hapo tofauti ni muda itakaotumia. USA hawezi kwa sasa kumvamia China, Russia na India ni kwa sababu ya business cycle na sio kuwa anashindwa kumchomoa hata Xi maana mbwembwe zote ni kuwa wana akiba ya Nuclear ninachojua Aircraft Franklin ikagonga kwenye Target huyo Mchina hawezi kuinua uso wake na hizo Nuclear zake 800. All in all, tukubali kuwa USA ni Super Power mfano leo China aguse pale Taiwan kama USA hatatia mguu.
Mkataba wa kulimt idadi ya nyuklia baina ya marekani na Russia umeisha tarehe 26 February, 2026.
Dunia si salama tena.