Naomba kuuliza, kuna Kiongozi yeyote wa Afrika anatumia mabavu kuongoza kwa kuamini Russia na China watamsaidia likimkuta? This is a shame!

Naomba kuuliza, kuna Kiongozi yeyote wa Afrika anatumia mabavu kuongoza kwa kuamini Russia na China watamsaidia likimkuta? This is a shame!

Hivyo vyote najua hata kabla hujaandika hapa.Siongelei vita hii naongelea tabia ya mataifa yanayopenda kuside na China hovyo hovyo bila kujua mchina anawaza nini.Taiwan sio kama Hong Kong hawezi China kuleta ubabe wake pale.
Sio kama hawezi. Fungua huo upeo wako vita sikuzote ni biashara wakubwa wanaangalia SURPLUS & DEFICITY. Ikiwa haileti hela basi haimake sense! unafikiri pale Venezuela kimefanyika nini? Bussiness as Usually Hapo Middle East je? Elewa Vita Sio Ngumi huo undumi la kuwili wa China unaoongelea naona kama ni chuki zako binafsi. It seems your still amateur in this mad world!
 
Hii ni kusema Russia na China sio washirika sahihi linapokuja suala la Ulinzi na Usalama kwa Mshirika wao bado na wao wanajitafuta.
Dah,
Huu ndo ukweli mchungu ambao wengi hawataki kukubali
 
Mambo ya wazung hayanisaidii,bora nipambanie ya hapa kwet
 
Viongozi wetu pendeni watu wenu ili mpate hakikisho la Usalama.

USA daily yupo Mzigoni mwamba ana uzoefu na washirika watiifu Je sisi wengine?
 
Sio kama hawezi. Fungua huo upeo wako vita sikuzote ni biashara wakubwa wanaangalia SURPLUS & DEFICITY. Ikiwa haileti hela basi haimake sense! unafikiri pale Venezuela kimefanyika nini? Bussiness as Usually Hapo Middle East je? Elewa Vita Sio Ngumi huo undumi la kuwili wa China unaoongelea naona kama ni chuki zako binafsi. It seems your still amateur in this mad world!
Hiki ndicho huwa nawashangaa watu wa namna yako.Unasema hiyo dunia unayajua mimi sijui umeitolea wapi?strategy za uchumi unazojua wewe za kidunia umezitoa wapi?yani internet ikisha wajaza taarifa basi mkiswitch tovuti moja kwenda nyingine mnajikuta mnajua dunia yote.

Acha akili za hovyo.Huko Venezuela si China alikuwa akipategemea? kafanya nini?.Kwamba unaweza ukawa unachuma sehemu, then ukubali mshindani wako akupokonye kizembe vile na useme sijui vita is and was?.Iran, china si anapategemea mbona nako kama anapokonywa sasa.Au unaongea vitu gani hapa?
 
Africa hakutabiriki mkuu,

Marekani na maguvu yake huwa akija huku anaaibika.

Somalia alipeleka special forces na bado alikula kichapo heavy.

Kule Chad, wanajeshi wa marekani nako vile vile walikumbana na kichapo.

Marekani kapeleka special forces Uganda kumtafuta Joseph Kony mpaka leo hakuna kitu.

Africa sio kama huko kwa waarabu, hivyo utafikiri mara mbili kuleta jeshi kwingine.
Marekani huwa analeta vikosi Afrika, ndege mbili tatu na wanajeshi miangapi au makumi kadhaa kamaliza. Hajawahi leta aircraft carrier akaipaki pwani yako alafu useme eti huwa anashindwa. 82nd Airborne Division yenyewe peke yake ikishuka utajuta adui kuwa eneo hilo.

Marekani ashindane na China na Urusi huku banana republics unajidanganya kwamba hapawezi. Anapuuzia tu, hata Iran wakati anapuuziwa kuna watu walisema haiwezi.
 
Huwezi kuwa mfia jambo fulani afu ukikosoe hicho kitu, huyo jamaa n mpumbavu fulani mfia China hivyo hawezi kuukubali udhaifu wa China atakuambia ndo ubora wao.
Jamaa anajionaga ni Mchina, hadi hujiita Xi Jinping. Kuna watu wana matatizo sana aisee wanaishi katika dunia ya kufikirika kupita kiasi.
 
Ni kweli kabisa
Usalama wa nchi yoyote Ile duniani unaanzia kwa raia ukiona kiongozi unatofautiana na raia wako ujue maisha yako yapo mashakan
 
C kama tuu mlivyosema Iran hawezi kupigwa na USA, na amepigwa 😂
Ninachojua USA inaweza kumchomoa yeyote tofauti kama nilivyosema kwenye bandiko hapo tofauti ni muda itakaotumia. USA hawezi kwa sasa kumvamia China, Russia na India ni kwa sababu ya business cycle na sio kuwa anashindwa kumchomoa hata Xi maana mbwembwe zote ni kuwa wana akiba ya Nuclear ninachojua Aircraft Franklin ikagonga kwenye Target huyo Mchina hawezi kuinua uso wake na hizo Nuclear zake 800. All in all, tukubali kuwa USA ni Super Power mfano leo China aguse pale Taiwan kama USA hatatia mguu.
 
Habari ya Sunday wana GT!
Nimetafakari sana kuhusu Ongozi (sio sanifu) zetu za kiafrika za kutumia nguvu nyingi kupitiliza kwa kukandamiza uhuru wa Raia na mali zao. Hii imekuwa ni kawaida kwa viongozi wetu wa kiafrika na wale wanaotoka Dunia ya tatu na ya kwanza nje ya Afrika wenye viashiria vya Ujamaa kama Cuba, Russia, Iran, China, Puerto Rico, Venezuela (past), Colombia, North Korea n.k.

Viongozi wamekuwa wababe kupitiliza kitu ambacho kinapelekea kuchukiwa na Raia.


Leo PLOII nitoe Somo kidogo kwa hawa wababe kwa Raia wao Trump akitia Mguu ubabe na ulinzi wao unayeyuka kama Barafu ya Congo Basin.

1. Viongozi wetu Usalama wa kwanza ni kuishi na Raia wako vizuri. Adui akiona unapendwa wanaweza kusogeza siku za kukumaliza au hata kushindwa kabisa mfano Hugo Chavez huu mtihani alishinda lakini Maduro kwa kiburi kapita angle mbovu sasa yupo kwenye ukuta mzito hana tofauti na Mende aliyeingia ndani ya Box.

2. Viongozi ni lazima tutengeneze mifumo ya kiutawala kila mtu awajibike sio kuwa na watu walio juu ya katiba wanafanya wanachotaka, ukweli ni kuwa bila National Cohesion, Solidarity & Integrity no security anymore.


NB: Viongozi wetu Russia hawezi kukupa hakikisho la kudumu la Ulinzi kwa sababu hata Putin anaishi kama Joka la Mdimu ni kiongozi ambaye amechokwa na watu wake na Fisadi Mfano mzuri, Wegner Group ni kikundi bora sana cha kupigana Putin aliamini ndicho kikundi sahihi cha kumsaidia lakini hakukuwa na Mwisho mzuri na 2023 Yevgeny Victorovich Prigozhin akapotezwa. Kiongozi kama Putin hana tofauti na Ayatollah Ali Khamenei au Maduro au Xi wanaishi kwa kubana watu na kuua wakosoaji wao. Unapotengeneza Adui ndani ya Taifa haupo Salama mfano mzuri Iran Top existing & Ex leaders became informers to CIA & MOSSAD Na hao ndio wametoa mchongo alipo Khamenei Mossad wakatupa Kiazi Mbatata.

Hii ni kusema Russia na China sio washirika sahihi linapokuja suala la Ulinzi na Usalama kwa Mshirika wao bado na wao wanajitafuta.

Tukubali kuwa Trump akiamua kumnyakua yeyote anaweza tofauti kuna sehem atafanya Operation ya siku 1 na nyingine 5.

Mwisho:
Viongozi wa Kiafrika Jifunzeni kuna yule Mzee M7, Kiir wamechoka lakini kuchinja watu sio shida kwao mnaacha Legacy mbaya, it is a stern to state their Equivocal Leadership.

Tusidanganywe kuwa Russia ni mbabe wa Vita. Russia alishindwa kutoa full control kule Afghanistan 1979, Russia Mshirika wake Colonel Muammar alishindwa kumlinda 2010-2011, Russia kashindwa kuwalinda Houths, Likud, Russia kashindwa kumlinda Bashar Assad kule Syria, Russia kashindwa kumlinda Nicolaus Maduro, Russia kashindwa kulinda usalama wa Mwamba sana A Supreme Leader ever on Earth Ayatollah Ali Khamenei.

Russia alipigwa na Japan Feb 1904 -Sep 1905 "Russo- Japanese War" chini ya Tsar Nicolas II against Emperor Meiji.
Russia alipigana Vita kubwa ni ile ya kumwondoa Kiongozi wa Kinazi na Fascist leader from Italy Adolf na Benito, naweza kusema kwa sababu ya kutengeneza internal insecurity ilikuwa rahisi Germany and Italy to be Languished miserably. Mbali na hivyo Russia kashinda Vita gani na hii ya Adolf Aloyce Hitler ni kwa sababu ya Triple Entente na USA akiwemo kama Weapons Supplier.


China ndio takataka kabisa kwenye Medali ya kivita hana uzoefu wowote ni sawa na India. Kihistoria Japan kamchapa sana kipindi cha Hirohito so Viongozi wetu pendeni watu wenu ili mpate hakikisho la Usalama. USA daily yupo Mzigoni mwamba ana uzoefu na washirika watiifu Je sisi wengine?
Yuko mmoja anadhani wajomba zake wa Oman watamsaidia
 
Africa hakutabiriki mkuu,

Marekani na maguvu yake huwa akija huku anaaibika.

Somalia alipeleka special forces na bado alikula kichapo heavy.

Kule Chad, wanajeshi wa marekani nako vile vile walikumbana na kichapo.

Marekani kapeleka special forces Uganda kumtafuta Joseph Kony mpaka leo hakuna kitu.

Africa sio kama huko kwa waarabu, hivyo utafikiri mara mbili kuleta jeshi kwingine.
Sasa wataleta jeshi mbugani watakua wanajilinda na wanyama kwanza au 🤣
 
Back
Top Bottom