No thanks! naelewa sema usichoelewa ni kwamba China sio mtu wa kuside nae basi ndio meseji yangu.Vita kila mtu akiingilia hiyo ni itakuwa vita kuu nyingine sasa.China jana kuna kitu gani kafanya hata kauli tu ya kuonya.Mbona mataifa mengine yalikuja kuonyesha upande waoUnachekesha kweli Unafikiri Vita ni kama kupigana ngumi kila mtu anaweza ingilia mda wowote.
Kamlinda Ibrahim TraoreHabari ya Sunday wana GT!
Nimetafakari sana kuhusu Ongozi (sio sanifu) zetu za kiafrika za kutumia nguvu nyingi kupitiliza kwa kukandamiza uhuru wa Raia na mali zao. Hii imekuwa ni kawaida kwa viongozi wetu wa kiafrika na wale wanaotoka Dunia ya tatu na ya kwanza nje ya Afrika wenye viashiria vya Ujamaa kama Cuba, Russia, Iran, China, Puerto Rico, Venezuela (past), Colombia, North Korea n.k.
Viongozi wamekuwa wababe kupitiliza kitu ambacho kinapelekea kuchukiwa na Raia.
Leo PLOII nitoe Somo kidogo kwa hawa wababe kwa Raia wao Trump akitia Mguu ubabe na ulinzi wao unayeyuka kama Barafu ya Congo Basin.
1. Viongozi wetu Usalama wa kwanza ni kuishi na Raia wako vizuri. Adui akiona unapendwa wanaweza kusogeza siku za kukumaliza au hata kushindwa kabisa mfano Hugo Chavez huu mtihani alishinda lakini Maduro kwa kiburi kapita angle mbovu sasa yupo kwenye ukuta mzito hana tofauti na Mende aliyeingia ndani ya Box.
2. Viongozi ni lazima tutengeneze mifumo ya kiutawala kila mtu awajibike sio kuwa na watu walio juu ya katiba wanafanya wanachotaka, ukweli ni kuwa bila National Cohesion, Solidarity & Integrity no security anymore.
NB: Viongozi wetu Russia hawezi kukupa hakikisho la kudumu la Ulinzi kwa sababu hata Putin anaishi kama Joka la Mdimu ni kiongozi ambaye amechokwa na watu wake na Fisadi Mfano mzuri, Wegner Group ni kikundi bora sana cha kupigana Putin aliamini ndicho kikundi sahihi cha kumsaidia lakini hakukuwa na Mwisho mzuri na 2023 Yevgeny Victorovich Prigozhin akapotezwa. Kiongozi kama Putin hana tofauti na Ayatollah Ali Khamenei au Maduro au Xi wanaishi kwa kubana watu na kuua wakosoaji wao. Unapotengeneza Adui ndani ya Taifa haupo Salama mfano mzuri Iran Top existing & Ex leaders became informers to CIA & MOSSAD Na hao ndio wametoa mchongo alipo Khamenei Mossad wakatupa Kiazi Mbatata.
Hii ni kusema Russia na China sio washirika sahihi linapokuja suala la Ulinzi na Usalama kwa Mshirika wao bado na wao wanajitafuta.
Tukubali kuwa Trump akiamua kumnyakua yeyote anaweza tofauti kuna sehem atafanya Operation ya siku 1 na nyingine 5.
Mwisho:
Viongozi wa Kiafrika Jifunzeni kuna yule Mzee M7, Kiir wamechoka lakini kuchinja watu sio shida kwao mnaacha Legacy mbaya, it is a stern to state their Equivocal Leadership.
Tusidanganywe kuwa Russia ni mbabe wa Vita. Russia alishindwa kutoa full control kule Afghanistan 1979, Russia Mshirika wake Colonel Muammar alishindwa kumlinda 2010-2011, Russia kashindwa kuwalinda Houths, Likud, Russia kashindwa kumlinda Bashar Assad kule Syria, Russia kashindwa kumlinda Nicolaus Maduro, Russia kashindwa kulinda usalama wa Mwamba sana A Supreme Leader ever on Earth Ayatollah Ali Khamenei.
Russia alipigwa na Japan Feb 1904 -Sep 1905 "Russo- Japanese War" chini ya Tsar Nicolas II against Emperor Meiji.
Russia alipigana Vita kubwa ni ile ya kumwondoa Kiongozi wa Kinazi na Fascist leader from Italy Adolf na Benito, naweza kusema kwa sababu ya kutengeneza internal insecurity ilikuwa rahisi Germany and Italy to be Languished miserably. Mbali na hivyo Russia kashinda Vita gani na hii ya Adolf Aloyce Hitler ni kwa sababu ya Triple Entente na USA akiwemo kama Weapons Supplier.
China ndio takataka kabisa kwenye Medali ya kivita hana uzoefu wowote ni sawa na India. Kihistoria Japan kamchapa sana kipindi cha Hirohito so Viongozi wetu pendeni watu wenu ili mpate hakikisho la Usalama. USA daily yupo Mzigoni mwamba ana uzoefu na washirika watiifu Je sisi wengine?
Korea Kaskazini haina maslahi yoyote ya maana tena kwa Marekani nyakati hizi.Kuna mikataba inayoitwa mutual defense pact.
Ambapo mataifa 2 au zaidi yanakubaliana kupeana msaada wa kijeshi endapo mojawapo litavamiwa.
China imeingia mkataba huo officially na taifa moja tu duniani, nalo ni North Korea.
Siku taifa lolote likithubutu kuigusa North Korea hapo sasa China ina kila sababu kurejea mkataba wa 1961 wa mutual assistance.
Ndio maana hautasikia hata siku moja Marekani ikapanga kuivamia North Korea pamoja na taifa hilo kutengeneza silaha za nyuklia na kufanya majaribio ya ICBM tena wakati fulani karibu na mipaka ya washirika wa Marekani yaani South Korea na Japan.
Sylevester Stallone (Rambo) akiwa peke yake anapigana na wajeshi 100,000 wa Kivietnam na anashinda.Ukiangalia zile Ndonga za Rambo, Chuck Norris, Anold na Michael (American Ninja) aaaha USA Asubuhi tu anashinda.
Endelea kuongea upuuzi, Ila USA sio demu wako unayemgeuza utakavyo.Sylevester Stallone (Rambo) akiwa peke yake anapigana na wajeshi 100,000 wa Kivietnam na anashinda. Hollywood wana ujinha mwingi sana kmmk Mbaga Jr anaamini ule ndio uwezo halisi wa jeshi la Marekani
Tangu 1953 baada ya kuisha Vita vya Korea, Marekani hana hamu na N.KKorea Kaskazini haina maslahi yoyote ya maana tena kwa Marekani nyakati hizi.
Iran anatumia satelite za mchina na urusi kujam mifumo ya IDF since hii vita imeanza plus short range missiles labda wewe unaishia kufwatilia huku jf ingia mitandaoni kajithibitishie. In Addition China yupo busy kujenga uchumi wake otherwise na yeye angeshaichukua Taiwan sasa Sembuse huko Iran ndio aingie front direct?No thanks! naelewa sema usichoelewa ni kwamba China sio mtu wa kuside nae basi ndio meseji yangu.Vita kila mtu akiingilia hiyo ni itakuwa vita kuu nyingine sasa.China jana kuna kitu gani kafanya hata kauli tu ya kuonya.Mbona mataifa mengine yalikuja kuonyesha upande wao
Burkinafaso haina maslahi ya maana kwa Marekani. Akili ya Trump nje ya Marekani ni mafuta, gas, madini adimu na soko la silaha.Yule wa Burkinabe naona Mungu alikuwa upande wake.Marekani akaona wacha mambo yasiwe mengi lakini kuside na Russia au China na ukajifanya mbabe unajichimbia kaburi lako.Washenzi wanakimbia matatizo ya kikupata hawaaminiki.Just imagine jana France,New zealand,Australia walikuwa tayari kutoa back up kwa Israel na US kama ingehitajika lakini sio China au Russia kwa Iran
Nchi yao imejaa, ana watu wengi sana wa kuwalisha, kunguru muoga huishi miaka mingi nadhani China anapita humo humoKiufupi ku- side na China ni wasteful hana uzoefu na Vita yeye ni Mchuzi na anabangaiza Uchumi wake sio Stable
Haya wape kuku waleHapana nimeona umeandika pumba
Huelewei chochote, hiyo vita ya Korea ilikuwa ndogo kwa Vietnam ila leo hii Marekani na Vietnam ni marafiki wakubwa na wanafanya biashara kubwa.Tangu 1953 baada ya kuisha Vita vya Korea, Marekani hana hamu na N.K
Wewe Mbaga Jr msemaji wa jeshi la Marekani la bonyokwa hebu toa command Putin akamatweEndelea kuongea upuuzi, Ila USA sio demu wako unayemgeuza utakavyo.
USA akikutaka anakunyakuwa chap tuu, h sio movie huo ndo ukweli ambao hutaki kuusikia ww mchina wa mwanjelwa
Marekani na Korea ipi South au North?Huelewei chochote, hiyo vita ya Korea ilikuwa ndogo kwa Vietnam ila leo hii Marekani na Vietnam ni marafiki wakubwa na wanafanya biashara kubwa.
Sawa semaji la PentagonHaya wape kuku wale
Hivyo vyote najua hata kabla hujaandika hapa.Siongelei vita hii naongelea tabia ya mataifa yanayopenda kuside na China hovyo hovyo bila kujua mchina anawaza nini.Taiwan sio kama Hong Kong hawezi China kuleta ubabe wake pale.Iran anatumia satelite za mchina na urusi kujam mifumo ya IDF since hii vita imeanza plus short range missiles labda wewe unaishia kufwatilia huku jf ingia mitandaoni kajithibitishie. In Addition China yupo busy kujenga uchumi wake otherwise na yeye angeshaichukua Taiwan sasa Sembuse huko Iran ndio aingie front direct?
Huwezi kuwa mfia jambo fulani afu ukikosoe hicho kitu, huyo jamaa n mpumbavu fulani mfia China hivyo hawezi kuukubali udhaifu wa China atakuambia ndo ubora wao.Huyu mdau ana mapenzi makubwa sana kwa China, na mara nyingi huchambua siasa za kimataifa kwa hisia. Amefunikwa na mapenzi yake binafsi kwa China. Usitarajie kupata hoja zenye mashiko kutoka kwa mtu anayejenga hoja kwa mihemko ni sawa na wafuasi wa itikadi kali.
C kama tuu mlivyosema Iran hawezi kupigwa na USA, na amepigwa 😂Ukiangalia zile Ndonga za Rambo, Chuck Norris, Anold na Michael (American Ninja) aaaha USA Asubuhi tu anashinda.
Huwa nakukubali sana kwenye mbanga za MMU ila huku unapuyanga sana mkuuUshasema mm n msemaji wa jeshi la bonyokwa, bc tutamtafuta Jamaa yeyote wa bonyokwa anayeitwa Putin tumle kichwa.