Naomba kuuliza kuhusu LAPF

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
4,120
3,346
Naomba kuuliza. kama mtu amefanya kaz ya kuajiriwa kwa mkataba wa kudumu akijitoa baada ya kufanya kaz kwa miaka mitano anaweza kupata mafao yake toka LAPF? kama akisitisha mkataba na mshahara wa 850,000 gross atapata sh ngapi?
 
Me nakaushauri nenda LAPF au ingia kwenye website yao
, utapata habari za uhakika zaida, kuliko kuuliza humu!
 
Mimi nitakueleza kuhusu experience ya pspf.. Sina hakika kama lapf nao wanafanya hivyo

kwamba kama ulikuwa na mwajiri fkan ukaacha kazi maybe.. Ukaenda kufanya kazi sehemu nyingine

unachotakiwa kufanya ni kutoa taarifa ktk mfuko kuwa umebadilisha mwajiri.... Hivyo pspf wataendelea kukusanya michango yako kwa mwajiri mpya na watajumlisha na michango ya mwanzo kama kawaida
 
ok thanks. hii iko hivyo kwa lapf pia. mm nauliza kuhusu kuacha kaz kabisa
 
Kuna fao la kujitoa unahitaji barua ya kuacha/kuachishwa kazi toka kwa mwajiri na copy ya LAPF Id card. Form nyngne utajaza ktk ofc zao. By the way sikushauri uondoke LAPF hasa kama umepata ajira mpya coz ndo best pension fund kwa sasa.
 
kitu cha pspf, pension calculation zake Best ukicompare na mashirika mengine
 
Back
Top Bottom