utatumia pesa nying manake zinahitajikaga sana...gonga muhuri kwenye original afu utakua unatoa kopi tu utakapohitaji..haina madhara na ni best way ya kutunza hivyo vijisenti

Nashukuru mkuu nimekuelewa vilivyo ntafanya hivyo.Ndio. Unatoa copy vyeti vyako. Halafu wakili anagonga muhuri kuthibitisha kwamba ulimuonyesha originals. Certify copy nyingi ukae nazo, hizo ndio utakazotuma.
aisee mimi vyeti vyangu vyote vimegongwa muhuri tangu mwaka 2006 na sijawahi pata navyo shida kabisa...sijui tafuta mwanasheria muulize na aliyenishauri nifanye hivyo ni mwanasheria alienigongea. hebu ulizeni na wengine tuone
inaruhusiwa tena kutoa copy ile ambayo iko certified mkuu?
au njia rahis toa copy then certify halafu utoage kopi ile kopi ya mwanzo manake haya mambo yanamalizaga senti mia mia zetu sana.......na utakapoenda kugonga si ni kwa mwanasheria hebu muulize kesi yangu..mimi niligonga mahaka ya mwanzo pale temeke 2oo6
Tuelewane kitu kimoja hapa ni kwamba unatoa copy unaenda certify alafu unapika copy Kutoka kwenye ile copy uliyo certify then unatumia sehemu yoyote tu na haina tatizo