Naomba kuuliza haya kuhusu mapenzi...

honey bee

Senior Member
Nov 23, 2021
139
231
Hivi ni kwanini mahusiano yakivunjika yanaleta uadui kati yao Hawa waliokuwa na mahusiano?, hata ule urafiki wa mwanzo unapotea!!

Na ni kwanini ukimtongoza msichana unaefahamiana nae akakataa ghafla unazuka uadui kati yenu?? Akati mwanzo hamkua na uadui!!!?
 
Mimi huwa nawafnya kuwa Marafiki zangu, ambao wanajua madhaifu yangu hivyo bas kunisaidia pale nnapokwama ili kujenga mahusiano mapya yenye nguvu!!
 
Mh his ni stori unajengaje urafiki na mtu ambae ameshakukataa hat cm yko hapokei at texts hajibu unaanze Tena kutengeneza huo urafiki unaoeleza
 
Mkuu ni wewe tu,, siku hizi mitongozo sio kitu serious kiivo.... ila ukiwa serious sana halafu uwe king'ang'anizi ndio chuki inaanzia hapo..

Wahuni 12: 9 - 23 kanuni ndogo ya 1987,,, kutongoza ni mara moja tu,, Jibu utakalopewa baada ya hapo likubali na endelea na maisha mengine,, unless otherwise lina matumaini.

Ugomvi huja kwa sababu Nigga unakuwa kupe,,na mademu hawataki mtu anawaganda saaaaaana...so option inayobaki ni kukukaushia tu
 
Naunga mkono hoja
 
Hivi ni kwanini mahusiano yakivunjika yanaleta uadui kati yao Hawa waliokuwa na mahusiano?, hata ule urafiki wa mwanzo unapotea!!

Na ni kwanini ukimtongoza msichana unaefahamiana nae akakataa ghafla unazuka uadui kati yenu?? Akati mwanzo hamkua na uadui!!!?
Kwa sababu akili zao hazijakua.
 
Back
Top Bottom