Naomba kuuliza feza boys ada shiling ngapi kwa mwaka?

Mozila

Senior Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
174
Reaction score
49
Wajameni nisaidieni feza boys ada ni shiling ngapi kwa mwaka?
 
Huwa najiuliza maswali kadha pindi ninapoona hizo ada za mamilioni ikiweo:
je uwekezaji katika elimu wa gharama kubwa utalipwa na mishahara gani?;
kwa mtu aliyesoma kwa gharama zote hizo na akalipwa chini ya laki tano ataacha kuiibia taasisi au kampuni?;
serikali imesema itaweka kikoma cha ada kwa shule binafsi, je shule za aina hiyo zitatii mamlaka?;
je gharama na ubora wa elimu unalinga na vyuo vya shahada hapa Tanzania?;
je mkuu wa shule hatakuwa tayari kufanya liwezekanalo (ikiwemo kutoa rushwa) ili wanafunzi wengi wapate daraja la kwanza?;
fedha chafu zinaharibu siasa na uchumi wa nchi, je hizi ada haziaribu elimu ya Tanzania.
Kwa kifupi maswali ni mengi, mengi sana!
 
Mkuu umefunguka sana,kwa kweli hata mwenyewe hayo maswali huwa hayaniishi kichwani.Na sijui nitapata vipi majibu ya haya maswali.
 
watoto wa jk,bilali,mwinyi wanasoma hiyo shule huku TUME YA ADA inapigwa danadana
 
Hata wazo la hiyo shule sina..nafikiri serikali yetu ndiyo inapofanya makosa ..unaiachia shule ipange ada yenyewe,,kazi kweli kweli..watoto wa mafisadi wote wako pale..
 
Imeshapanda mpaka 6.4 kuanzia January 2013!. Lazima ujumlishe na Pre-form One.
 
Hata wazo la hiyo shule sina..nafikiri serikali yetu ndiyo inapofanya makosa ..unaiachia shule ipange ada yenyewe,,kazi kweli kweli..watoto wa mafisadi wote wako pale..

Soko huria, na hivi wanafaulisha sana badi kila mzazi anataka kupeleka mwanae!
Sioni tofauti sana na Marian japo sifahamu ada yao!
 
Huwa najiuliza maswali kadha pindi ninapoona hizo ada za mamilioni ikiweo:
je uwekezaji katika elimu wa gharama kubwa utalipwa na mishahara gani?;
kwa mtu aliyesoma kwa gharama zote hizo na akalipwa chini ya laki tano ataacha kuiibia taasisi au kampuni?;
serikali imesema itaweka kikoma cha ada kwa shule binafsi, je shule za aina hiyo zitatii mamlaka?;
je gharama na ubora wa elimu unalinga na vyuo vya shahada hapa Tanzania?;
je mkuu wa shule hatakuwa tayari kufanya liwezekanalo (ikiwemo kutoa rushwa) ili wanafunzi wengi wapate daraja la kwanza?;
fedha chafu zinaharibu siasa na uchumi wa nchi, je hizi ada haziaribu elimu ya Tanzania.
Kwa kifupi maswali ni mengi, mengi sana!

Mkuu, wengi wanaosomeshwa hapo wazazi wao hawana maisha ya kubangaiza!
Na hata wakimaliza sekondari vyuo vyao ni UK, Ulaya n.k.
Kazi zao sio za mishahara ya laki 5! Hivyo usidhani eti wanawekeza ili kazi ije iwalipe! Umasikini mzigo asikwambie mtu!
 
Hehehe Bibie mwanaasha aliRotate. Hivi siku hizi yuko wapi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kusoma hapo ni mbwembwe tu,mbona tunao hao waliosoma feza hapa chuon na tunawakimbiza sana tu..hawana kitu zaidi ya spoon feeding na kukaririshwa majibu ya mitihani.
 
Soko huria, na hivi wanafaulisha sana badi kila mzazi anataka kupeleka mwanae!
Sioni tofauti sana na Marian japo sifahamu ada yao!

Marian ada yake ni milion 1.6 kwa O'LEVEL na mil. 1.8 kwa A'level. Hawa jamaa hawako kibiashara.
 
Mmmh hizi shule za bei ukimaliza unaenda chuo let's say UDSM ukimaliza sijui mshahara ngapi
 
Huwa najiuliza maswali kadha pindi ninapoona hizo ada za mamilioni ikiweo:
je uwekezaji katika elimu wa gharama kubwa utalipwa na mishahara gani?;
kwa mtu aliyesoma kwa gharama zote hizo na akalipwa chini ya laki tano ataacha kuiibia taasisi au kampuni?;
serikali imesema itaweka kikoma cha ada kwa shule binafsi, je shule za aina hiyo zitatii mamlaka?;
je gharama na ubora wa elimu unalinga na vyuo vya shahada hapa Tanzania?;
je mkuu wa shule hatakuwa tayari kufanya liwezekanalo (ikiwemo kutoa rushwa) ili wanafunzi wengi wapate daraja la kwanza?;
fedha chafu zinaharibu siasa na uchumi wa nchi, je hizi ada haziaribu elimu ya Tanzania.
Kwa kifupi maswali ni mengi, mengi sana!

nakubaliana nawe mkuu,fedha inaharibu mfumo wetu wa elimu...feza inabebwa na nguvu ya fedha.
 
Back
Top Bottom