Naomba kuuliza feza boys ada shiling ngapi kwa mwaka?

Naomba kuuliza feza boys ada shiling ngapi kwa mwaka?

mkuu kama ni hii bei halafu form six wakina mwana asha wanazungusha ni bora umpeleke south africa akasome huko maana fees za south kidogo ni afadhali maana fees za watu wanaotoka SADC countries wanalipa sawa na wazawa wia south africa. nakuambia ukiangalia fees za degree za UCT utashangaa sio ghali kama za uk na zina quality tu.

No kweli Mkuu Mimi ni UCT class of 2012 naunga mkono hoja yako.
 
Kweli hii bongo nahisi kuna Baadhi ya wanafunzi km vile wanasoma peponi.
Nilialikwa nipeleke mtoto kwenye shule hii. Jionee mwenyewe ada na malipo yote kwa mwaka ni around 40mil tena nursery
WWW.thelathamschool.com
Hapahapa bongo........kufuru.
 
nyie mtabaki kupiga majungu humu JF na wakati mtoto wa Rais yupo 4m5 mwaka huu ktk shule 1 hapa dar( jina nimesahau) na mwakani anaingia 4m6 koz kasoma huu mwaka huku akirisiti baadhi ya mitihan kutafuta Credit 1 kwa mujibu wa baraza la mitihani Tz.

Suala la Kusoma A level huku unatafta credit haliko!! Lishapgwa marufuku tena kwa waraka wa serikali
 
bora wangu asome st kayumba kuliko iyo mihela afu ziro iko palepale
 
Ahsante kwa mdau aluyetoa wazo la vyuo vikuu gya Afrika Kusini haswa UCT ni kweli SADC ni nafuu zaidi.
 
Back
Top Bottom