Naomba kutolewa hofu

jossey1979

Senior Member
Joined
Apr 28, 2008
Posts
174
Reaction score
44
Nina Hofu sana na Hatma ya Afro.
Nakumbuka huyu bwana alianzisha Thread moja Nzito yenye Tittle ''joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania''
Huyu bwana alikua anawakiliosha ujumbe wake katika mtiririko fulani. cha kushangaza huyu bwana alipotea ghafla. bila hata kumalizia uchambuzi wa ththread yake.
Hofu yangu ni kutaka kujua what Hapened to this guy. inawezekana alipewa ban? nini kitakua kimetokea kwa huyu bwana. Kwa jinsi alivyokua anaelezea mada yake, ni thahiri kabisa kama kusaga alikua anasoma ile thread ni lazima alijua mwandishi ni nani?
What the hell happened to this guy?
 
Hivi inawezekana Jossey
lakini hiyo Sredi mbona haikuwa na ubaya wowote πŸ˜€
 
Nilimwambia mapema awe mwangalifu maana waweza kumshughulikia,na sasa nadhani tayari wamekwisha mshughulikia huyo pole sana Afro kwa yaliyo kupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…