Naona umeshampata mchumba uliyekuwa unamtafuta PM= Private MassageHiv nn maana ya ku PM mm ni mgeni hapa jamvini tafadhari sana mwenye kunisaidia anisaidie
Mkuu! Jitahidi kuandika kiswahili vizuri, epuka vifupisho visivyo vya lazima itendee haki lugha yetu adhim. Tuanze sasa...!!Hiv nn maana ya ku PM mm ni mgeni hapa jamvini tafadhari sana mwenye kunisaidia anisaidie