Naomba kusaidiwa ushauri juu ya maziwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kusaidiwa ushauri juu ya maziwa

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by sexologist, May 10, 2012.

 1. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Natanguliza heshimu,
  Mara zote huwa naamini katika intelligency ya baadhi ya wana JF. Ushauri tunaopata hapa umetusaidia wengi kwa namna moja au nyingine.

  Ndg zangu, leo naomba nishauriwe namna ya kutambua maziwa yaliyochakachuliwa, yaani yenye maji. Maana mengine sio rahisi kuyagundua. Kama kuna kifaa maalum au njia ya asili ya uhakika..

  Pili, namna gani naweza kuhifadhi maziwa kwa muda mrefu yasigande pasipo kuyachemsha?

  Shukurani zinatangulizwa wakuu!
   
 2. S

  Speculator Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kugundua maziwa kama yana maji tumia HYDROMETER ni chombo unaweka kinaelea kipo ambacho ni special kwa maziwa tu na vipo vya kawaida ili mradi kiwe na range ya uzito wa maziwa halisi,, Kwa KUTUNZA Chemsha yapooze kwa ghafla moja kwa moja weka kwenye fridge ubalidi unaokaribra kugandisha yasigande,, Zingatia mm ni mtoto wa mfugaji tu SIO mtaalam ... Tafuta wataalam wa maziwa hivi majuzi tu this year nasikia pana technology mpya ya maziwa hata mm sijaifahamu..
   
Loading...