Naomba kusaidiwa kwa hili

martini enock

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
635
273
Wana JF naomba kusaidiwa
Nina king,amzi cha Mediacom model mft 910
Nataka kutumia kwenye dish LA azam
Hivi naweza kupata signal hatimae kuonesha TV?

Mwenye uelewa kwa hili anijuze
Maana nyumba ya kupanga imenichosha

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom