Mackjnr
Member
- Mar 22, 2020
- 27
- 17
Habarini ndugu zangu?
poleni Sana na majukumu. Napenda kufahamukidogo kwa MTU mwenye experience na maisha ya Botswana ,ni me somea course ya Afya, natamani Sana kufanya kazi kule.
Sent using Jamii Forums mobile app