Naomba kupata elimu kuhusu maisha ya Botswana

Naomba kupata elimu kuhusu maisha ya Botswana

sasa kwa mtu aliyena elimu ya kidato cha nne tu na kafaulu vizur ila hajaweza endelea na masomo anaweza fanya issue gan hapo BOTSWANA ?
Umalaya. Wazimbabwe baada ya uchumi wao kuvurugwa karibia wote wamekimbilia Botswana na SA.

Wadada wanaojiuza kutoka Zimbabwe na Zambia nchini Botswana ni zaidi ya 3000 kwenye miji tofauti kuanzia Gaborone, Francistown na kwingineko.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Habari. Natoka Botswana, pia naishi Botswana sasa. Kiswahili changu hakikizuri lakini ukitaka kuniuliza tafadhali tumia kiingereza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wareng Era
Ke dumela gore o Motswana tota! Gatwe se Swahili tsa gago ga di siameng? Nyaa ya Rra, ke bona waitse Swahili sentle.

Mme o batla go tusa di tsala tsa rona tsa Matanzania, di tuse fela.
 
Back
Top Bottom