nelvine
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 1,109
- 1,855
Wakuu Habarini za usiku Huu.
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya muustabali wa maisha yangu nimeona ni heri niwe fundi wa vimeo uko mtaani.
Japo sina uzoefu au ujuzi wa hivi vifaa hila naamini nitaweza kuendana na kasi ya uchumi wa kati na uchumi wa viwanda.
Nahitaji kujua vifaa muhimu sana kwenye ufundi simu na kompyuta, hivyo nawakaribisha wadau kwa maoni na ushauri wenu.