Trekta hilo huwezi kulipata kwa mil 30. Ukiweza basi niletee moja nitakupa 50M. Hakuna ushuru kwa zana za kilimo.Wadau naomba mnisaidie kujua gharama za kuingiza trekta. Bei yake huko lilipo ni kiasi cha milioni 30 tsh.. nimeangalia kwenye kikokotozi cha TRA. Hakuna sehem unaweza kokotoa hii ni picha ya trekta lenyewe na model yakeView attachment 1482532