Probox ni ngumu kuliko Wish. Nimeziona sehemu mbalimbali hasa mkoani Kigoma zikiwa ndio gari za kubebea mizigo kwenda magulioni,Pia nchini DRC ndio gari za mizigo na taxi. Zinabeba mizigo hatari na zinavumilia.Na Engine yake ni ndogo ukilinganisha na wish. Wish IPO kwa luxury zaidi.Wakuu naomba mtaalam wa magari anipe ufafanuzi wa ubora wa hizi gari nilizotaja hapo juu! Dadavua kadri unavyofahamu!
Hapo umesema kweli Dada Eliza, nimekaa Kibondo muda mrefu mchomoko za pale zote ni Probox mpaka nikawa nashangaa mwenyewe kwa nini? Pale Nyakanazi napo asilimia kubwa ni Probox! Kuna siri hapo! Luna mwingine akaniambia mafuta huwa vinanusa tu!Probox ni ngumu kuliko Wish.Nimeziona sehemu mbalimbali hasa mkoani Kigoma zikiwa ndio gari za kubebea mizigo kwenda magulioni,Pia nchini DRC ndio gari za mizigo na taxi.Zinabeba mizigo hatari na zinavumilia.Na Engine yake ni ndogo ukilinganisha na wish.Wish IPO kwa luxury zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli, nitakatumia kwenda kazini kati ya Mwanza na SHY. Huwa naenda J3 na kurudi Ijumaa, sasa ninaporudi naweka mzigo wa dukani nafikri unavyoshauri katanifaa sana kubeba mzigo!Nunua Probox/Succeed. Ni ngumu sana. Kigoma, Geita, Kagera na baadhi ya maeneo ya Shinyanga ndio gari za kuaminika za abiria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kitu ambacho wala hakina haja ya kufafanua sana.Wakuu naomba mtaalam wa magari anipe ufafanuzi wa ubora wa hizi gari nilizotaja hapo juu! Dadavua kadri unavyofahamu!