Naomba kujuzwa security code ya Nokia 230

Anthony Paschal

Verified Member
Oct 23, 2013
506
0
Heshima kwenu jf members, naomba kujuzwa au kufahamishwa Security code za nokia 230 kwa anaezijua anielekeze tafadhali, natanguliza shukrani zangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom