Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Salaam Wananzengo wenzangu.
Hawa viongozi wetu wanalipwa mshahara kiasi gani? Gharama za kuendeshea ofisi ( stationary , mafuta ya gari , posho etc) zikoje ?
Huwa naona kama wanazunguka sana (Ukiacha Katibu Tarafa). Wana ziara nyingi za kitaifa (mfano misafara).
Kuzunguka huko kuna-associate sana na posho , malazi , matairi ya magari, service za magari, stationary charges, kutoa michango mbalimbali, kushiriki invitations /makaribisho kwenye matukio kadhaa ndani ya maeneo yao n.k.
Hivi RC ,DC akienda likizo anaenda na gari ya serikali au anapack ofisini kwake?
Asanteni