mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Kwa mishahara hii Bora kujiajir tu hailip Mana kwa majukum haya alafu upokee hela hii dah huto Jenga
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu zuri kabisa TEMESA technician wanaanza na 640k na engineer 860k, Tanesco Technician 1m+ na engineer 1.5+m, Tanroad wako juu kidogo, TPDC na TCRA ndio usiseme kabisa WAKO JUU MNO kimslahi , NEC electrical techincian 1.2M, engineer 1.6m Huko uwanja wa taifa ndo majanga kabisa njaa kama yote kwa engineer na technician wa umeme
Mshahara unategemeana na taasisi uliyopo japo kuna taasisi zinalipa kidogo au juu ya hizo nilizotaja
Sent using Jamii Forums mobile app