Naomba kujuzwa mbinu ya kumzuia mjamzito kutapika

Asee mi huyu kukicha Asubuhi tu anaanza kutapika Nyongo
Usiogope Mkuu wewe mkazanie tu kula, jitahidi sana kile anachopata hamu nacho umpatie kwa wakati.
Wa kwangu alikuwa anatapika 24/7. Akila kitu lazima atapike. Ndani ya miezi mitatu alipoteza kg nyingi.

Yeye Mungu alimsaidia coz ilikuwa ni ile miezi mitatu ya mwanzo. Baada ya hapo alipiga misosi kidogo apate overweight.

Kuna wakati alikuwa anazidiwa kabisa, nampeleka hospital anatundikiwa drip za kumwongezea nguvu. It was very hard time. Ila iliisha kabisa.
 
Asante sana ngoja nivifwatilie
Mkuu wala usihangaike, hiyo complication wala haitatuliki...achana na hayo madawa wanaokushauri wadau! Unaweza kuharibu mimba ya mkeo hivi hivi.

Ila hata mimi nilihangaika kama wewe hakuna tulijaribu kila aina ya dawa ila bado iliendelea.
Cha msingi jitahidi kuhandle hiyo hali isilete madhara kwa mkeo.
Hata kama anatapika ale tu.

Tulihangaika bure tu. Hadi Profesa mmoja wa akina Mama alivyonielewesha, nikamuelewa.
 
Sawa Asante sana Mkuu Kwa ushauri mzuri

Aende hospital Kama immemzidia Sana, cz mimba inaweza toka pia , atapewa dawA huko. Asimize dawa bila kufika hospital
 
Back
Top Bottom