Naomba kujuzwa mbinu ya kumzuia mjamzito kutapika

Abdalah Lyimo

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
269
153
Ndugu naomba Msaada wenu nahitaji kujua kama kuna huduma ya kumsaidia Mjamzito kuzuia kutapika maana kuna dada hapa Mimba Toka inamwezi mmoja mpaka ameenda kujifungua yeye kila Siku na kila baada ya Masaa kazaa ni lazima atapike sasa.

Mdogo Ake nae ni Mjamzito na ameanza kutapika mfululizo Msaada wenu Tafadhari hata wa ushauri tu
 
Ndugu naomba Msaada wenu nahitaji kujua kama kuna huduma ya kumsaidia Mjamzito kuzuia kutapika maana kuna dada hapa Mimba Toka inamwezi mmoja mpaka ameenda kujifungua yeye kila Siku na kila baada ya Masaa kazaa ni lazima atapike sasa mdogo Ake nae ni Mjamzito na ameanza kutapika mfululizo Msaada wenu Tafadhari hata wa ushauri tu
Avumilie tu.
Jitahidini ale chakula sana. Kila anapotapika apewe chakula ili kulinda afya yake.
Hiyo kitu haina dawa. Usijisumbue.
Nilihangaika sana na wife yake ilikata automatic mimba ilipofikisha miezi 3
 
Back
Top Bottom