SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Nafkir hili ndo jibu sahihi kwa maana ya 'TBT'.Throw Back Time
Nafkir hili ndo jibu sahihi kwa maana ya 'TBT'.Throw Back Time
Kwa hyo wewe bendera fuata upepo.?Hiyo ni long term na si msimamo wangu.
Next time kuwa na akili...
Any way naona hata ID yako inakusuport.
Namashaka na vyeti vyako... #Kwa hyo wewe bendera fuata upepo.?
Sasa kiongozi.utaandikaje neno lenye madhara kiasi hicho mbele za watu.hata mungu aliyekuumba ana chukia.unampa sifa ya umungu likiumbe ambalo lilimuasi.wewe unalichukulia kiurahisi.Namashaka na vyeti vyako... #
Madhara gani sasa.?Sasa kiongozi.utaandikaje neno lenye madhara kiasi hicho mbele za watu.hata mungu aliyekuumba ana chukia.unampa sifa ya umungu likiumbe ambalo lilimuasi.wewe unalichukulia kiurahisi.
Sawa.ila hilo jina lucifer,ulivyo malizia na our lord.halijakaa sawa.Madhara gani sasa.?
Huoni hata wewe mwenyewe utakuwa care ukiwa unaona neno kama hilo kwenye social networks.
Yapo maneno mengi tunatumia afu hatujui chanzo chake.
Google (operation of secret societies in the world).
Halijakaa sawa kivip.Sawa.ila hilo jina lucifer,ulivyo malizia na our lord.halijakaa sawa.
Kwenye maana,sio kwenye kifupi.Halijakaa sawa kivip.
Halina mwendano na L. O. L. ?
kama sijakuelewa pointi yako iko wapi
Listen!Kwenye maana,sio kwenye kifupi.
YOLO ,SWAGA manaake niniListen!
Neno L. O. L =Lucifer our lord
Tuko tofauti kiimani dunia nzima na kila mtu anamjua mungu wake anaemwabudu ni nani na anapatikana kupitia nini.
Kuna wengine wanaabudu mpaka mawe na kama ilivyokawaida kila mungu anapatikana kweye madhabahu ya aina yake na masharti ya aina yake.
Sasa kuna makundi ya watu yapo dunian wao wanamwabudu shetani kama mungu wao.
Au labda ulikuwa hujui, walio wengi wanaabudu kwa usiri mkubwa na wanaongeza waumini kila siku kwa usiri sana.
Moja ya vitu wavyotumia kukushikirikisha ibada zao bila wewe kujua ni hayo maneno ambayo wanayatengeneza na kukufanya wewe utamke ukijua uko kwenye hali ya flani hiv ya utamaduni wakileo.
L. O. L
Y. O. L. O
S. W. A. G
O. T. I. S
Lakini hayo maneno wao hutumia wakiwa kwenye ibada zao
Sasa niambie nikuelewe complaining yako nini? .
Na vilevile kuna uzi humu unaelezea vifupisho vya aina aina. Hebu peruzi uupate. Maswali mengi yanarudiwa rudiwa. Fukunyua nyuzi za zamani utafurahi ajabu!Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimekuwa nikikutana na neno "BTW" kwenye nyuzi nyingi humu, ila nimeshindwa kujua maana yake naomba wazoefu was kulitumia hili neno wanisaidie kujua maana yake
Nb eid Mubarak
Common used by youth.YOLO ,SWAGA manaake nini
Nafukuaje hizo nyuzi za zamani mkuuNa vilevile kuna uzi humu unaelezea vifupisho vya aina aina. Hebu peruzi uupate. Maswali mengi yanarudiwa rudiwa. Fukunyua nyuzi za zamani utafurahi ajabu!
duuuh!!! hatari, kweli tunapotea kwa kukosa maarifa, utakuta kajamaa kamepost picha kanakula masanga utaona kanaweka Y.O.L.OCommon used by youth.
Y. O. L. O = Youth Obey Lucifer Order
S. W. A. G= Secretly We Are Gays
What The ****!! (WTF)
WTF=Wednesday, Thursday, FridayWTF = WHATSAPP TWITTER FACEBOOK