Dodou
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 494
- 390
WTF = WHATSAPP TWITTER FACEBOOK
IMAO- in my arrogant opinionHili unalifaham WTF.... Aah IMAO, Sorry
WTF = WHATSAPP TWITTER FACEBOOK
IMAO- in my arrogant opinionHili unalifaham WTF.... Aah IMAO, Sorry
Hahahaa you made my day...BTW=Bia Tamu Wewe!
BTW=Bia Tamu Wewe!
BRN= BIG RESULTS NOWMinaomba kujua maana ya BRN ilio zikwa rasmi leo pale jumbani white, na ma akasema watapangiwa job zingine kwa location nyingine kwenye gavamenti......
Nakweli tunayaona matokeo makubwa ya kuzisoma namba za kila rangi.....BRN= BIG RESULTS NOW
MMS = MATOKEO MAKUBWA SASA.
Samahani nami naomba kujua kirefu cha TBT
JUMA PONDA MALINaomba kujua kirefu cha JPM
Throw Back ThursdaySamahani nami naomba kujua kirefu cha TBT
Throwback not throw backThrow Back Thursday
UmekoseaThrow back thursday kama sikosei...
inakua ThrowbackThrow Back Thursday
Na kama isipokuwa Thursday inakuwa
Throw Back Time
ASAP.......
Ebu ngoja nikae kiti cha huku nyuma tuapo kaaga sisi Wa darasa la saba......