Kiswahili chake ndo kipi?[emoji134]. Naomba Shule.TBT = THROWBACK THURSDAY
Siku nyingine uwe una Google.Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimekuwa nikikutana na neno "BTW" kwenye nyuzi nyingi humu, ila nimeshindwa kujua maana yake naomba wazoefu was kulitumia hili neno wanisaidie kujua maana yake
Nb eid Mubarak
TBT = Throw Back Thursday.
Hio ni maalum kwaajili yaki flshback.
Yale mambo na picha zote za zamani (miaka ya nyuma)
Throw back thursday kama sikosei...
Hakunaga ya throwback sunday kwani?[emoji38] [emoji38]Throw Back Thursday
Ipo, T.B.S.Hakunaga ya throwback sunday kwani?[emoji38] [emoji38]
Kitichako amesha kalia musukuma yule wa geita
hahahahaha wamidosho duh mbavu zanguTembea Baba Tembea
Not ours,your lord mkuu...me hapanaLucifer Our Lord
Nilichosema ni kirefu chake sio ninachoaminiNot ours,your lord mkuu...me hapana
DahNilichosema ni kirefu chake sio ninachoamini