Naomba kujuzwa maana ya neno BTW

Naomba kujuzwa maana ya neno BTW

TBT pia ilikuwa ni kirefu cha Tanzania Beyond Tomorrow. Mradi huu haukufanikiwa hata uzinduzi wake haujafanyika. Ulikuwa unafadhiliwa na Bill Gate.Lengo ilikuwa kusambaza compyuta zenye program maalumu mashuleni ili kuwezesha wanafunzi wote kusoma kwa mfumo(mtaala) mmoja. Kama nimekosea mwenye kujua anirekebishe
 
Kwanini inakua TBT na si Wednesday, Tuesday n.k?
Kwa nini pia inakua
MCM badala ya MCT, MCD,,n.k?
Na pia inakua
WCW badala ya WCM, WCT,, n.k?
Hizo siku nyingine hizo jinsia hazicrush?
 
Minaomba kujua maana ya BRN ilio zikwa rasmi leo pale jumbani white, na ma[emoji357] akasema watapangiwa job zingine kwa location nyingine kwenye gavamenti......[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom