Shangani
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 730
- 1,010
Tanesco leo wametangaza rasmi kuwa kutakuwa na "upungufu" wa umeme nchini mpaka mwakani. Nimeona video YouTube huko nchini Nigeria watu wanatumia Gas ya kupikia nyumbani kama fuel kwa ajili ya Generator.
Naomba kuuliza wajuzi wa umeme na gas je hapa Tanzania utalamu huo upo wa Kutumia LPG kama mbadala wa petroli kwenye jenereta.
Naomba kuuliza wajuzi wa umeme na gas je hapa Tanzania utalamu huo upo wa Kutumia LPG kama mbadala wa petroli kwenye jenereta.