Naomba kujuzwa kuhusu maisha ya Same mjini

Naomba kujuzwa kuhusu maisha ya Same mjini

Kuna shule inaitwa Bangalala Secondary niliwahi kufundisha field kiukweli nilipenda sana ukarimu wao niliishi vizuri sana na wanakijiji pale Bangalala - Same.

Napapenda sana hata sasa hivi natamani kurudi huko kufundisha na kuishi, hakuna ukame sana kama hedaru.

nakushauri nenda tu Same pazuri sana mkuu.
hello samahan mkuu, unaweza nisaidia kufaham vizuri lifestyle ya same high school?
 
hello samahan mkuu, unaweza nisaidia kufaham vizuri lifestyle ya same high school?
Huko nilipokuwepo na Same High School ni maeneo tofauti, kifupi sijawahi kufika hapo kwa sababu pia sikuwepo huko kwa muda mrefu. Ila nahisi mazingira yatakuwa ni hayohayo...!
 
Ule mradi niliacha umefika pale Mgagau-Mnadani,hivi unategemewa kumalizika lini?Shida ya huo mji ni maji,tabu sana ya maji hapo...Yanapatikana ya chumvi ambayo yanaharibu sana nguo.

Nilikaa Same miezi minne kikazi.Nilifikia sehemu moja inaitwa Elephant Motel.Ipo pembeni ya mji.Chakula hasa matunda na mengineyo,yanapatikana kwenye gulio la Kwasakwasa,gulio lipo kila J'pili,watu wanashuka na vyakula toka milimani,hapo maji ndio tatizo.

Jumamosi maduka mengi yanafungwa sbb wenyeji wengi ni Wasabato.Ila watoto wa Kipare ukimuonja tu,lazima akupandie milimani akutulize.Bar kubwa ni PADEKO na Kimweri karibu na kituo cha Mafuta cha Panone.

Wilaya ina ukame sana,jua kali sana lakini usiku kuna baridi ya upepo(kipupwe),na vumbi kubwa sana ndio maana wadada wengi wanavaa open shoes na soksi.Nyumba za kupanga si gharama sana.

Wewe mkuu unaenda kuwa mtumishi wa Serikali au shirika binafsi?
Padeko....nimekunywa sana bia na mbuzi pale ....nilipokuwa nakwenda session
 
hello, unaweza nisaidia kuifaham kwa uzuri same high school?
Same high school. Ndo tumepiga sekondari hapo kuna jamaa alizidiwa nnyege akaenda kubaka Mbuzzi. Shida ya maji tukawa tunaenda kuteka maji stesheni ya reli pamoja name wafungwa. Ukileta maji ndoo ya lita 20 Ndo unapata msosi.
 
Karibu na hedaru pia..mana huku kulala n saa saba mpka kuna mda tunatoboa kuja kushtuka asubuhi..mirung sana..ila nakusih usitumie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau kuna upepo sana kama uko pembeni y bahari na ni masaaaa yote
 
Habari za Leo wanajukwaa, kama heading inavyosema, natamani kupata highlights za maisha katika mji wa Same mkoani Kilimanjaro. Nimepata uhamisho kwenda Same, so naomba kujuzwa hali ya maisha hapo Same, fursa zilizopo na information yoyote kuhusu Same unayoona ni muhimu. Ahsanteni sana
Fursa - Biashara ya Tangawizi

Changamoto - UKIMWI (Same, Makanya na Hedaru)
 
Kwanza kabla ya yote nakukaribisha sana kwetu. Same ni eneo ambalo kuna wakati kunakuwa na ukame wa hali juu. Sisi wenyeji wa Same (wapare) ni wakarimu, hatuna majungu, upande wa dini wengi wengi ni sabato. Karibu sana sana wenyeji tupo tutakupokea karibu mpendwa wetu wilayani Same
Mimi siipendi Same kimazingira ila nawapenda wadada wa kipare kwa muonekano

Nakubali kuwa wengi ni wakarimu ila baadhi ni Wachoyo sanaa.
 
Back
Top Bottom