Naomba kujuzwa kuhusu maisha ya Same mjini

Naomba kujuzwa kuhusu maisha ya Same mjini

Msimu wa ukame Same ni miezi 2 tu, miezi mingine ni kama unavyoona picha hapo juu! Green kabisa, pia shida ya maji siyo kubwa kama mnavyoaminishwa, ukija tafuta nyumba inayopata maji, nunua sim tank umemaliza, yanafunguliwa twice a week
 
Kwanza kabla ya yote nakukaribisha sana kwetu. Same ni eneo ambalo kuna wakati kunakuwa na ukame wa hali juu. Sisi wenyeji wa Same (wapare) ni wakarimu, hatuna majungu, upande wa dini wengi wengi ni sabato. Karibu sana sana wenyeji tupo tutakupokea karibu mpendwa wetu wilayani Same
Nitakuja unipokee sawa ee
 
Habari za Leo wanajukwaa, kama heading inavyosema, natamani kupata highlights za maisha katika mji wa Same mkoani Kilimanjaro. Nimepata uhamisho kwenda Same, so naomba kujuzwa hali ya maisha hapo Same, fursa zilizopo na information yoyote kuhusu Same unayoona ni muhimu. Ahsanteni sana

Kuna shule inaitwa Bangalala Secondary niliwahi kufundisha field kiukweli nilipenda sana ukarimu wao niliishi vizuri sana na wanakijiji pale Bangalala - Same.

Napapenda sana hata sasa hivi natamani kurudi huko kufundisha na kuishi, hakuna ukame sana kama hedaru.

nakushauri nenda tu Same pazuri sana mkuu.
 
Same pakavu sana aisee..na ule upepo kuanzia saa kumi na moja jioni unaokuja na vumbi/mchanga...

lakini hizi ni kumbukumbu zangu from 2014/2015 nilikuwa hapo THE SAME HIGH SCHOOL (waswahili wanaita Same sec.)
 
Umenikumbusha mbali sana.Nimelala hapo miezi minne na nusu,nilikuwa hapo kikazo mwaka 2015.
Hapo kushoto ya kuingia reception kuna miti mingiii na mahali pa michezo ya watoto na kupumzikia.

Niliipenda ile mandhari sbb ya hali ya hewa ya Same,ukiwa Elephant Motel hata mchana unakaa nje chini ya miti.Kweli miti ni hazina,tupande miti kuukabili ukame.
MPAKA HAPA WATU WA SUTI NYEUSI WAMESHAKUPATA... WATAENDA PALE ELEPHANT HOTEL NAKUCHEKI MTU ALIYEKAA MIEZI MINNE NA NUSU 2015...
 
Kwanza kabla ya yote nakukaribisha sana kwetu. Same ni eneo ambalo kuna wakati kunakuwa na ukame wa hali juu. Sisi wenyeji wa Same (wapare) ni wakarimu, hatuna majungu, upande wa dini wengi wengi ni sabato. Karibu sana sana wenyeji tupo tutakupokea karibu mpendwa wetu wilayani Same
Mmhh!
 
Totoz zinaweza kukufanya Ndondoz..

Haswa msimu huu wa "Ukame wa Ndoa".
 
Kwanza kabla ya yote nakukaribisha sana kwetu. Same ni eneo ambalo kuna wakati kunakuwa na ukame wa hali juu. Sisi wenyeji wa Same (wapare) ni wakarimu, hatuna majungu, upande wa dini wengi wengi ni sabato. Karibu sana sana wenyeji tupo tutakupokea karibu mpendwa wetu wilayani Same
Pia ni wabahili sana na kwa Yale mambo yetu wapare hawapo nyuma
 
Back
Top Bottom