chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,561
- 28,441
Mtani....
Karibu barabara ya 17 pale ndio nimekulia mie
Karibu barabara ya 17 pale ndio nimekulia mie
[emoji1] [emoji1] Chakii kumbe mtani wangu weyeeMtani....
Nipo mkuu. Nimepaliwa na juice ya tende...tehe tehe.upo? mbona umeguna? hahahahahh
We unauliza jibu? Au unapigia msitari?.Na wewe ni mfupi eee?
Unajuaje kama mimi sipo pamoja nao?Au sbb tunaonana kijamiiforum...Sio rahisi kama unavyofikiriMPAKA HAPA WATU WA SUTI NYEUSI WAMESHAKUPATA... WATAENDA PALE ELEPHANT HOTEL NAKUCHEKI MTU ALIYEKAA MIEZI MINNE NA NUSU 2015...
Fafanua,mi najua maeneo ya masandare kuna walozi wengi sana,pia wanawake wengi wa same hawajui kusema no, ni enzi hizo za 1999 nilikuwa pande hizo lakini sijui sasa hali ikojeSame pazuri sana mradi mkubwa wa maji umefika hakutakuwa na shida ya maji kama awali. Utafanya mengi nenda ujionee ila fanya kilichokupeleka achana na vidosho utapata shida kubwa sana..
Daah umeidadavua vizuri sana ,wanawake wa same ni kama warangi wanaitwa gusa unate ,ukionja tu mara moja ubanduki kuna vibabu vina dawa hatari tena vibabu vya huko siyo vitapeli ni vya uhakika kama vya kwa msisiUle mradi niliacha umefika pale Mgagau-Mnadani,hivi unategemewa kumalizika lini?Shida ya huo mji ni maji,tabu sana ya maji hapo...Yanapatikana ya chumvi ambayo yanaharibu sana nguo.
Nilikaa Same miezi minne kikazi.Nilifikia sehemu moja inaitwa Elephant Motel.Ipo pembeni ya mji.Chakula hasa matunda na mengineyo,yanapatikana kwenye gulio la Kwasakwasa,gulio lipo kila J'pili,watu wanashuka na vyakula toka milimani,hapo maji ndio tatizo.
Jumamosi maduka mengi yanafungwa sbb wenyeji wengi ni Wasabato.Ila watoto wa Kipare ukimuonja tu,lazima akupandie milimani akutulize.Bar kubwa ni PADEKO na Kimweri karibu na kituo cha Mafuta cha Panone.
Wilaya ina ukame sana,jua kali sana lakini usiku kuna baridi ya upepo(kipupwe),na vumbi kubwa sana ndio maana wadada wengi wanavaa open shoes na soksi.Nyumba za kupanga si gharama sana.
Wewe mkuu unaenda kuwa mtumishi wa Serikali au shirika binafsi?
Habari za Leo wanajukwaa, kama heading inavyosema, natamani kupata highlights za maisha katika mji wa Same mkoani Kilimanjaro. Nimepata uhamisho kwenda Same, so naomba kujuzwa hali ya maisha hapo Same, fursa zilizopo na information yoyote kuhusu Same unayoona ni muhimu. Ahsanteni sana
Sema tu ukweli kwamba ukiingia kwenye 18 za watu hawakuachi,kuoteshwa kitu mgongoni ni ishu ndogoFuata kilichokupeleka, waheshimu wenyeji nao watakuheshimu ukilete mikwara watakunyoosha. Ningekupa mifano lakini itaathiri wahusika maana bado wapo.
Ni kweli kabisa watoto wakule hawali pipi na maganda hata siku moja na kuhusu kuzungukana ni jambo la kawaida ni kama vile kugongeana sigara ,unajua wavuta sigara hata kama hawajuani huwa hawawezi kunyimana sigaraFursa kubwa za huko Same ni kujitahidi tu kuepuka UKIMWI Mkuu.
😎 Hamuachi vitukoMPAKA HAPA WATU WA SUTI NYEUSI WAMESHAKUPATA... WATAENDA PALE ELEPHANT HOTEL NAKUCHEKI MTU ALIYEKAA MIEZI MINNE NA NUSU 2015...
You are rightSema tu ukweli kwamba ukiingia kwenye 18 za watu hawakuachi,kuoteshwa kitu mgongoni ni ishu ndogo
Masandare tumepigga miti wake za watu mitaa hiyo...Pia maeneo ya Stesheni kama unaelekea mjini kuna mother alikuwa mjane basi nikawa nampa TULIZO kiaina. LODGE ilikwa GHETTO kwake. Mimi MSINGI KIUNO tuFafanua,mi najua maeneo ya masandare kuna walozi wengi sana,pia wanawake wengi wa same hawajui kusema no, ni enzi hizo za 1999 nilikuwa pande hizo lakini sijui sasa hali ikoje