Naomba kujuzwa kuhusu Azania

Ni kama unavoona JAMBO.pale Shinyanga kuna Muarabu ana kampuni ya Jamno food mule kuna maji, Soda,pipi sijuwi Energy na vingine.Lakini pia kuna Jambo plastics ipo hapa dar nadhani na malawi ila ni tofauti kabisa make ile ni ya Wahindi wala hawahusiani na jambo food.Pia kuna jambo jambo kibao.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
hawa jambo nasikia hata ile salamu ya JAMBO waliasisi wao
 
Back
Top Bottom