Naomba kujuzwa kuhusu Azania

Ni kama unavoona JAMBO.pale Shinyanga kuna Muarabu ana kampuni ya Jamno food mule kuna maji, Soda,pipi sijuwi Energy na vingine.Lakini pia kuna Jambo plastics ipo hapa dar nadhani na malawi ila ni tofauti kabisa make ile ni ya Wahindi wala hawahusiani na jambo food.Pia kuna jambo jambo kibao.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wote ni tofauti kabisa hata hawajuani
 
Ka ujuani wenu wooote mnashindwa kunipa tofauti iliopo mnajibu vingine alimradi tuu mtu aonekane alikuwa on line basi.
 
Back
Top Bottom