Naomba kujuzwa jinsi ya kuondoa mwangwi wakati wa kurekodi kwenye chumba

Unatakiwa kuweka sound proof material chumba chote cha studio,kama una hela,unaweza tumia tray za mayai
 
Unatakiwa kuweka sound proof material chumba chote cha studio,kama una hela,unaweza tumia tray za mayai
 
49c155cd5a4fc541cf6ae1d7a3e072a8.jpg

Hizi ni sound proofing foam, hivyo hata tray za mayai unaweza kuweka kwa mtindo huu
 
Back
Top Bottom