Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

Hivi Tarangire na Ngorongoro wapi kuna wanyama wengi maana nimefika Ngoro2 ila Tarangire sijaenda.

Kutoka Arusha wapi ni karibu namaani shaweze kutoka Ar nikatalii na kugeuza kuepuka kulipa $500?
Inategemea unahitaji kuona wanyama gani.
Mbuga ya karibu ni Arusha NP, Manyara na Tarangire.
Nimeziandika kwa mpangilio na ya kwanza ni karibu zaidi
 
Kwa kupunguza gharama. Tumia usafiri wa kawaida mpaka .Mto wa mbu / karatu..hapo kuna madereva wengi wa tours.. utaunganishwa na wageni wengine..
 
Inategemea unahitaji kuona wanyama gani.
Mbuga ya karibu ni Arusha NP, Manyara na Tarangire.
Nimeziandika kwa mpangilio na ya kwanza ni karibu zaidi
Gari mmesema 250USD gharama za kuingia mbugani ni bei gani per head?
Je tukija watu 7 gharama ya gari inaongezeka?
 
Ni vyema mngelala karatu ili game drive ianze mapema, maana kutokea ar hadi NCAA hamtoinjoi muda utabana mno baada ya kutalii hifadhini ndio mwaweza kuja kulala Arusha
Tuna activity ya kufanya Arusha day 1,then day 2 tunataka day trip to Ngorongoro.Haiwezekani?
 

USD 180 ukiwa uko fresh nijulishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…