Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,547
- 40,662
Ukiwa mwenyewe bei ndio hiyo, ila group gharama zinapunguabei ya mzawa je ?
Ukiwa mwenyewe bei ndio hiyo, ila group gharama zinapunguabei ya mzawa je ?
Day trip ni around 200-250$Ndugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua?
Gharama kwa siku ni kiasi gani?
Nipo Arusha, natanguliza shukrani.
View attachment 1975021
UnaendeshwaHii ni gari tu au na gharama za utalii?? self drive au unaendeshwa?
Bei ya mzawa ni ileile tu labdq awe mzalendobei ya mzawa je ?
Inategemea unahitaji kuona wanyama gani.Hivi Tarangire na Ngorongoro wapi kuna wanyama wengi maana nimefika Ngoro2 ila Tarangire sijaenda.
Kutoka Arusha wapi ni karibu namaani shaweze kutoka Ar nikatalii na kugeuza kuepuka kulipa $500?
Kwa kupunguza gharama. Tumia usafiri wa kawaida mpaka .Mto wa mbu / karatu..hapo kuna madereva wengi wa tours.. utaunganishwa na wageni wengine..Ndugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua?
Gharama kwa siku ni kiasi gani?
Nipo Arusha, natanguliza shukrani.
View attachment 1975021
Gari mmesema 250USD gharama za kuingia mbugani ni bei gani per head?Inategemea unahitaji kuona wanyama gani.
Mbuga ya karibu ni Arusha NP, Manyara na Tarangire.
Nimeziandika kwa mpangilio na ya kwanza ni karibu zaidi
Mcheki 0787 080 330 INLAND AFRICA EXPLORERNdugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua?
Gharama kwa siku ni kiasi gani?
Nipo Arusha, natanguliza shukrani.
View attachment 1975021
Safari inaanzia wapi?
Safari inaanzia wapi?
Safari inaanzia Arusha.Tutatoka na basi huku Singida.Safari inaanzia wapi?
Mkuu mimi sio mtoa huduma, nimekupa gharama ili angalau uwe na wastani wa makadirio, ukihitaji labda nikuunganishe na watoa huduma mbalimbali naweza kufanya hivyo ili upewe itinerary.Gari mmesema 250USD gharama za kuingia mbugani ni bei gani per head?
Je tukija watu 7 gharama ya gari inaongezeka?
Ni vyema mngelala karatu ili game drive ianze mapema, maana kutokea ar hadi NCAA hamtoinjoi muda utabana mno baada ya kutalii hifadhini ndio mwaweza kuja kulala ArushaSafari inaanzia Arusha.Tutatoka na basi huku Singida.
Tuna activity ya kufanya Arusha day 1,then day 2 tunataka day trip to Ngorongoro.Haiwezekani?Ni vyema mngelala karatu ili game drive ianze mapema, maana kutokea ar hadi NCAA hamtoinjoi muda utabana mno baada ya kutalii hifadhini ndio mwaweza kuja kulala Arusha
Inawezekana nilijua mtafika tu Ar kwa ajili ya kwenda NgorongoroTuna activity ya kufanya Arusha day 1,then day 2 tunataka day trip to Ngorongoro.Haiwezekani?
Weka beiInawezekana nilijua mtafika tu Ar kwa ajili ya kwenda Ngorongoro
Shuka makuyuni au nyuma yake kidogo kuna campsite nyingi hapo utapata madereva wengi wa tours.. ila kuwa mjanja kwenye kupatana kwa maana pesa yako ni posho ya dereva..Safari inaanzia Arusha.Tutatoka na basi huku Singida.
250,000tsh per person this includesWeka bei
Ndugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua?
Gharama kwa siku ni kiasi gani?
Nipo Arusha, natanguliza shukrani.
View attachment 1975021
Kwa wazawa ni chini ya hapo.250,000tsh per person this includes
Entry fee
VAT
Vehicle fee
Lunch
Transport
Driver salary
Natambua hilo, sio mzawa tu hata mgeni hatozwi tu hela ambayo haina zidioKwa wazawa ni chini ya hapo.