Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,133
- 2,986
Nimekumbuka siku moja nasafiri Arusha to Dom, wengine siku za kuamkia safari kulala ni ukiwa safarini hasa kipindi hiki magari yanaanza safar saa 9 usiku.
Nipo zangu usingizini, mtu ananipigapiga bega eti anaomba tiketi, aisee alijuta kwa kitendo chake hicho akaomba radhi tukayamaliza.
Kuna baadhi ya kampuni gari ikishaondoka stand hakuna ukaguzi wa hizo tiket, maana chart wanayo inaonesha seat zote zimeuzwa na abiria wote wamekaa katika seat. Ya nin kuanza kukagua tiket ama kuulizana kituo cha kushuka, wakati nakata tiketi nakupa taarifa zote.
Kwa upande wako unachukuliaje hiyo hali? Hata kama mali bila daftari, bado ni ushamba tu