Naomba kujuzwa gharama ya kuziba meno

NtYga

JF-Expert Member
Aug 23, 2018
4,774
12,209
1. Ndugu zangu JF nina shida ya jino limetoboka sasa sijajua gharama ya kuziba ni shilingi ngapi maana sina bima. Please, anayefahamu ni bei gani naomba anijuze.

2. Njia bora ni ipi, kung'oa ama kuziba?

Naomba kuwasilisha.
 
Pole sana. Uamuzi wa kutoa au kuziba utafanywa na dr. Na gharama nayo inategemea na hospital. Jambo la muhimu ni wewe kwenda na kuulizia hospital hasa hizi za serikali.
 
Nasikia ukiwa na bima bei huwa pungufu kwani kukata bima bei Gani???

Sijui. Kuna thread hapa inaonyesha gharama. Angalia kiambatanisho cha post ya kwanza
 
1. Ndugu zangu JF nina shida ya jino limetoboka sasa sijajua gharama ya kuziba ni shilingi ngapi maana sina bima. Please, anayefahamu ni bei gani naomba anijuze.

2. Njia bora ni ipi, kung'oa ama kuziba?

Naomba kuwasilisha.
Angalia usije ukavimba uso.

Tumia vitunguu swaumu vitakusaidia.
 
1. Ndugu zangu JF nina shida ya jino limetoboka sasa sijajua gharama ya kuziba ni shilingi ngapi maana sina bima. Please, anayefahamu ni bei gani naomba anijuze.

2. Njia bora ni ipi, kung'oa ama kuziba?

Naomba kuwasilisha.
Njia bora ni KUZIBA!!! Jino ni kama mfupa, ukiondoa unaharibu structure ya mdomo.

Pia kuliko kuliondoa kabisa why usijaze tu ukabaki nalo likifanya kazi vizuri.

Ukiwa na 40,000 unamaliza kila kitu na chench inabaki pale MUHIMBILI! Huhitaji rufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom