nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,664
Habari ndugu?
Poleni na msiba. Mungu awatie nguvu.
Ninaomba msaada kwa mtu anayefahamu juu ya chuo cha Diplomasia kilichopo hapa Dar, Kurasini.
Ninaomba kufahamu pale wanafundisha faculty zipi na kwa ngazi zipi pia.
Ahsanteni sana.