Naomba ufafanuzi namna ya kusoma Masters ya International relations and Diplomatic studies mtandaoni

Smart Gang

JF-Expert Member
Nov 16, 2022
1,977
3,302
Habari zenu?

Nimefuatilia kwenye current prospectus ya Chuo kikuu Cha Diplomasia kurasini na hata chuo kikuu Cha Dodoma nimeona hawana kozi ya Masters ya ushirikiano wa kimataifa na Diplomasia.

Pia Tawi Dogo la Chuo kikuu Kampala (KIUT) pale Gongo la mboto hawatoi hiyo.kule Nchini Uganda main Campus wanatoa ila kulingana na majukumu sio Rahisi kwenda huko .
Hivo natamani nisome hii kitu ila online

Tafadhali wenye uelewa na uzoefu na haya mambo naomba msaada jinsi gani naweza kuisoma online na mengineyo kutoka vyuo vya nje ya Nchi.

Ahsanteni, muwe na mapumziko mema ya Weekend.
 
Back
Top Bottom