Ninalo. Nataka nikupe Pros & Cons if you're interested.Kwann
Ninalo. Nataka nikupe Pros & Cons if you're interested.
Unakuta ilipigwa spana na garage ya chini ya mwembe, ambayo spare za gari wanaita spear lazima dashboard ikufurahishe na taa kama mti wa krismasiHizo gari sio za kununua mikononi mwa watanzania labda kama una historia nayo. It's better uipate iliyotoka nje moja kwa moja na ikiwa na low mileage ndio utaenjoy.
mwanakulipataaaa 😅Mwana kulitafuta....
Kwa mtu Sasa tutajuaje Bei? Acha uswahili ingia mtandaoni uchukue chombo epukana na presha za madalali fekiHabarini Wana jamvi,
Nilikuwa naulizia bei au gharama za kununua BMW X3 kwa mtu. Maana nikubali sana hii Mashine ya Mjerumani so naombeni kujuzwa ili nilifanikisha hili Inshallah
Ninalo. Nataka nikupe Pros & Cons if you're interested.
Andika hapa mkuu hizo pros na consNinalo. Nataka nikupe Pros & Cons if you're interested.
Mwaka gani mfano. Maana zina generation.Andika hapa mkuu hizo pros na cons
Msaada naomba
HahahahahahUnakuta ilipigwa spana na garage ya chini ya mwembe, ambayo spare za gari wanaita spear lazima dashboard ikufurahishe na taa kama mti wa krismasi
GreatCruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover
Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha
Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts
Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
2016 mpaka 2020Mwaka gani mfano. Maana zina generation.