Naomba kujuzwa Bei ya BMW X3 2008/2011 kwa mtu na sio Befowars wala Japanese dealers

Sheffer95

Member
Mar 16, 2020
46
125
Habarini Wana jamvi,

Nilikuwa naulizia bei au gharama za kununua BMW X3 kwa mtu. Maana nikubali sana hii Mashine ya Mjerumani so naombeni kujuzwa ili nilifanikisha hili Inshallah
 
Sheffer95

Member
Mar 16, 2020
46
125
Shukran sana Sema ungenipa pros and Cons mapema ili nijue nalitake care vipi nikishanunua
 
JAKUGOTE

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
452
500
Hizo gari sio za kununua mikononi mwa watanzania labda kama una historia nayo. It's better uipate iliyotoka nje moja kwa moja na ikiwa na low mileage ndio utaenjoy.
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
2,510
2,000
Hizo gari sio za kununua mikononi mwa watanzania labda kama una historia nayo. It's better uipate iliyotoka nje moja kwa moja na ikiwa na low mileage ndio utaenjoy.
Unakuta ilipigwa spana na garage ya chini ya mwembe, ambayo spare za gari wanaita spear lazima dashboard ikufurahishe na taa kama mti wa krismasi
 
joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
14,080
2,000
Habarini Wana jamvi,

Nilikuwa naulizia bei au gharama za kununua BMW X3 kwa mtu. Maana nikubali sana hii Mashine ya Mjerumani so naombeni kujuzwa ili nilifanikisha hili Inshallah
Kwa mtu Sasa tutajuaje Bei? Acha uswahili ingia mtandaoni uchukue chombo epukana na presha za madalali feki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom