Adolph Leonard
Member
- Oct 14, 2011
- 49
- 44
Karaoke ni nn mkuuu?
40/40 hapa Tabata Bima, Micassa hapa Tabata Magengeni na Micassa ya Ubungo piaNenda tabata.
Forty forty bar
Wajuzi jibuni hili tafadhaliKaraoke ni nn mkuuu?
Hii bar ya tabata ina mahusiano na ile iliyopo Kijenge, Arusha?Forty forty bar
Huko sweken kijenge sipafahamu ndio napasikia leo.. Karibu downtown dsm toka swekeni hukoHii bar ya tabata ina mahusiano na ile iliyopo kijenge arusha?
Mkuu karibu nipo ndani hapa kwenye lounge na vyombo. Na mtoto wendy muhudumu kisu balaa..40/40 hapa Tabata Bima,..Micassa hapa Tabata Magengeni na Micassa ya Ubungo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mtu unawekewa biti la wimbo wa Beyonce wewe unaimba live ndo karaoke mkuu.Karaoke ni nn mkuuu?
Kutokua na Permanent Partner ni ULEMAVU!!Nenda Ngamia Lounge kigamboni kila siku za jumatano totozi za kufa mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua mbili baridi bill kwakoHuko sweken kijenge sipafahamu ndio napasikia leo.. Karibu downtown dsm toka swekeni huko
Mlandege au Malindi?Wadau nilikuwa Moshi jumamosi ya week iliyopita niliingia night club moja kama sikosei inaitwa Mlandege nili enjoy sana watu wanavyoimba karaoke, nilitamani kujua na hapa Dar kama kuna hizo bar na ratiba zake angalau nikapunguze mawazo.
Msaada wenu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app