Adolph Leonard
Member
- Oct 14, 2011
- 49
- 44
Wadau nilikuwa Moshi Jumamosi ya week iliyopita; niliingia night club moja kama sikosei inaitwa Mlandege nili-enjoy sana watu wanavyoimba karaoke; nilitamani kujua na hapa Dar kama kuna hizo bar na ratiba zake angalau nikapunguze mawazo.
Msaada wenu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada wenu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app